![MzeeBarwani](/img/default-banner.jpg)
- 53
- 859 379
MzeeBarwani
Приєднався 9 лют 2009
Tanganyika Islamophobia
Tanganyika authorities are publicly declaring their enmity to Islam, Arabs and Zanzibaris. Here are 2 high government officials, members of the ruling party, the parliament and the cabinet (Samuel Sitta and William Lukuvi) openly propagate their hatred. This discrimination based on race, religion and geographical origin is in contrast to human rights and Tanzanian constitution.
Переглядів: 4 133
Відео
26 Haki za Binadamu
Переглядів 12 тис.8 років тому
Aman Thani anaelezea maonevo waliopatishwa wananchi wa Zanzibar. Wanamapinduzi wameuwana wenyewe kwa wenyewe. Baada ya miaka yote hii hapana faida yoyote ya mapinduzi.
25 Ahmed Diria 2
Переглядів 17 тис.8 років тому
Aman Thani anaendelea kueleza maovu ya Ahmed Hasan Diria alipokua Pemba.
24 Ahmed Diria 1
Переглядів 23 тис.8 років тому
Aman Thani anamkumbuka Ahmed Hasan Diria alipopiga watu viboko Pemba. Waliopigwa walikua watu wazima wenye heshima kubwa kwa watu.
23 Rashid Abdalla Mamba
Переглядів 15 тис.8 років тому
Rashid Abdalla (Mamba) kawaadhibu watu Pemba kwa kila adhabu. Akinyang"anya wasafiri dhahabu na mapambo yao. Akiyayusha dhahabu, anachukua chake na ziliobaki anampelekea Karume, Zanzibar. Zikifika dhahabu kwa Karume hazionekani tena.
22 Maovu ya Mapinduzi
Переглядів 46 тис.8 років тому
Aman Thani anamuelezea Ibrahim Noor maovu ya mapinduzi. Kushrehekea mapinduzi ni aibu kubwa. Faida gani ya mapinduzi yamepatikana baada ya miaka yote hii?
21 Haki Lazima Ipatikane
Переглядів 21 тис.8 років тому
Mdungi Usi, Jaha Ubwa, Jimi Ringo, Khamis Masoud na Nadhifu wamechukuliwa kutoka gereza ya Langini. Askari wakamuambia Aman Thni na wenziwe kwamba hao wote wameuliwa. Aman anasema: "Iko siku lazima wananchi wa Zanzibar iwatake serikali ieleze vifo vya watu hawa."
19 Kisa cha Hanga 2
Переглядів 38 тис.8 років тому
Hanga na Kambona walikua marafiki sana. Kambona kachukiza kwa Nyerere na Hanga kachukiza kwa Karume. Nyerere kamkamata Hanga akamrudisha Zanzibar kwa Karume, akateswa na akauliwa.
20 Jaha Ubwa
Переглядів 25 тис.8 років тому
Jaha Ubwa alipokua gerezani watu wa Makunduchi wakamkejeli; "Tulipotaka kusali Ijumaa ukatukataza na ukasema dhambi zenu leo nitazichkua mimi." Jaha Ubwa alilia machozi.
18 Kisa cha Hanga 1
Переглядів 27 тис.8 років тому
Hanga alifanya kazi vizuri na Karume, lakini baada ya mapinduzi Karume hakupendezewa na mapenzi ya watu kwa Hanga. Hanga akaondolewa Zanzibar kupelekwa Dar-es-Salaam.
17 Yalomkuta Saleh Sadalla
Переглядів 33 тис.8 років тому
Saleh Sadalla aligombana na Karume kwa sababu ya mwanamke. Karume alimtukana Sasalla kwenye kikao cha baraza la mapinduzi. Karume kataka kumpiga Sadalla na Sadalla akataka kumpiga risasi Karume, hakufaulu. Kwahivyo Sadalla kafungwa na baadae Karume kamuua.
16 Kutoka Gerezani 1967
Переглядів 27 тис.8 років тому
Februari 1967 Aman Thani na wafungwa wa siasa wameletwa kutoka Langoni kuletwa gereza la Kilimani. Karume na memba wa baraza la mapinduzi wamekuja jela kuwafungua baada ya kufungwa miaka mitatu.
15 Langoni na Kilonzi
Переглядів 14 тис.8 років тому
Bwana Aman Thani anaendelea kuhojiwa na Profesa Ibrahim Noor katika mwaka 2000. Anaeleza shida zaq gereza ya Langoni. Mwezi wa Ramadhani, Kilonzi (mkubwa wa jela) aliwaachia wafungwa kupokea vyakula vikavu kutoka majumbani. Pia Kilonzi aliwapunguzia saa za kazi na kufanya darasa za dini mwezi huo mtukufu.
14 Kwa BaMkwe Tena
Переглядів 20 тис.8 років тому
Aman Thani Fairuz anaelezea yaliompata baada ya kukimbia Abdulaziz Twala na Idris Majura kutoka jela ya Langoni. Aman alijua na yeye atingia matatani kwa sibabu ya urafiki wake nao. Kachukuliwa kutoka Langoni akapelekwa gereza ya Kiinuamiguu akatiwa condemn cell. Baada ya masiku akahamishwa akapelekwa kwa Bamkwe (Mandera).
13 Twala Kakimbia Jela
Переглядів 30 тис.8 років тому
Aman Thani Fairuz anaelezea Idrisa Majura ameelezea kwamba Othman Shariff na Kasim Hanga tulikua pamoja kwa Mandera. Wote Othman na Hanga wameuliwa. Twala na Idrisa na Aman walifanya mipango ya kukimbia jela pamoja. Aman hakuyapenda mipango yao, wakakimbia pekeyao.
12. Serikali ya Madaraka Mpaka Uhuru
Переглядів 6 тис.8 років тому
12. Serikali ya Madaraka Mpaka Uhuru
Duuh, tumedanganywa Sana kuhusu mapinduzi ya Zanzibar. Nipo bara natetemeka mzee anavosimulia haya
Sawa, lakini wangepelekwa mahakamani na kesi ikasikilizwa kwa haki. Hakika hiyo Ni dhuluma mbaya waliyofanyiwa
Kumkubali sio kumkubari
Wewe mbara sio wakoroni atakiswahilli chako kinaonesha
Huy sio kibaraka alikua kiongozi
Wewe mbara ?
Huna akili wewe mlevi
Nafuatilia darasa la mzee huyu, alitakiwa apewe tuzo
Matatizo Kama hayo kwenye jamii huisha kwa kufanya maridhiano na kuombana msamaha. Viongozi wenu wajiandae kwa Hilo.
Wengi waliotendewa uovu huo wameshatangulia mbele ya haki msamaha aombwe nani
Hongera Sana mzee kwa kuongea unachokikumbuka. Hakika Maovu hutendeka gizani, lakini mwisho hujulikana kwenye Nuru
Kuna haha ya utawala Zanzibar kuwaomba radhi wahanga wa mateso. Huyo mzee anakumbuka kila kitu, na hii Ni imeandikwa
Yaani ukisikilza kma sio zanzibar hii duugh
Naziftitilia hz clps za mapinduzi ya Zanzibar Dah kumbe tulidanganywa sana
Ndio mpaka Leo wanasema uwongo ndani ya mskiti
Pua refu ,mwarab ww
UNAPOSEMA WAARABU WAMEKUJA MIAKA ZAIDI YA ELFU . WALIPOKUJA WALIKUTA HII UNGUJA HAMNA MTU. KISIWA KITUPU AU WALIKUTA WATU. UNAPOSEMA WAAFRIKA WA KIBANTU SIO WAARIKA WA WAKATI HUO UNAMAANA GANI. UNALIHASIMISHA VIPI KUKU NA YAI. WACHA UNAFIKI
hana lolote mnafiki huyu. tunamjua mtwana mkubwa kusema hayo na mengine na huo umri anaosema ni muongo. aje nimuoneshe kipande/kibali cha kupatachakula 1918 cha baba yangu kipo. mwafrika anapata chakula dona ratili 3,sukari ratili 1. mchele ratili 2 kwa mwezi , waarabu hakuna kitu kama chakula na kidogo afadhali uwe mngazija.
Subhanallah 😢😢
Nchiii kisha isidamirike.
Na kizuri walifanyiana ubaya wenyewe kwa wenyewe.
Genge la tupendane lilokuwa miembeni lililokuwa lilokuwa likizaminiwa na Karume na chama chake cha ASP ndio walofanza hale.
Diria aliishia wapi na vpi?
Mungu akulaze pema mzee wetu
Baada ya kupata uhuru kulikuwa NA serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari
Huyo mzee ni mzanzibari kuhusu waarbu ni tarahe miyaka mia tisa 900 iliyo pita wakazaliyana humo humo zanzibari NA kuona kuhusu oman NA zanzibari ilishagawanyka toka kitambo zanzibari peke yake NA oman peke yake zanzibari ikawa chini ya ukoloni ya ungereza pamoja NA tanganika nchi mbili hizo zilipata uhuru tanganika NA zanzibar kutoka kwa mwengerza baada ya uhuru wa zanzibari ilifanwa uchaguzi NA wazanzibari wenyewe kwa hiyari yao matokeo kundi la wazanzibari wenye asili ya waarabu ilishinda hao ni wazaliwa pemba ni wanainchi wakapendwa ile mbaya NA wazanzibari kwa uwema wao uadilifu uaminifu wao sasa ubaya gani kuwa wanaasili ya kiyarabu raisi wa malaziya alikuwa mwarabu raisi wa amerka alikua mkenya yani zanzibari elikua dola peke yake ina kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA klikua NA amani hana thulma uhakika ni kwamba vibaraka kutoka zanzibari ndio wameharibu nchi kwa msaada ya ungereza NA tanganika nchi ikavamiwa usiku wa manane NA majeshi kutoka bara NA kiongozi wao alikuwa jhon okeli wakati siku ile karume alikuwa dar eslaam kwa nyerere wakingojea matokeo ya uvamizi inayo sikitisha ni kwamba walivyo uliwa watu wasio NA hatia raia wa kawaida waliwatoa manyumbani usiku NA kuwapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma watoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi NA serekali ya zanzibari ikapotea ikaja utawala wa namna nyingine au ukoloni mpya wakaita mapinduzi NA tena matakatifu itakuaje kuwaua waslam mwenzio NA kiuta mapinduzi matakatifu ajabu sana
Oyaaa, waarabu zanzibar SIO KWAO BALI WALIKUJA ZNZ NA PEMBA, waliwakuta WABANTU WAAFRIKA WEUSI AMBAO NI WAZAWA
Me naona uzanzibar ulikua mbele tu lakin kikubwa tatzo ilikua ni uislam sababu hta kafiri nyelele kwenye moja ya hutuba alisema uzanzibar na uislamu. Pia Kafiri William lukuvi moja ya clip aliwah kusema uislam Zanzibar ni tishio kwa hyo ni dhulma juu ya uislam
Mm ni mtanganyika lkn sifurahii mateso waliopitia wazanzibari.
Wewe sio mtanganyika t wewe ni binaadamu mwenye kuujua utu
👍👊✌️.
✌️👊👍.
HISTORIA YA UKWELI KABISA WALA HAONA CHENGA
👍✌️👊.
✌️👊👍。
👊✌️👍。
✌️👊👍.
👊✌️👍.
✌️👊👍.
✌️👍
Heee lazima tujue kwa nn wazanzibar watiwe jela ya dodoma
Wewe mshenzi wacha kumzuilia Marehemu katika Mambo haya je kama ni baba yako ungalifurahia mpaka leo bado unao uchungu na maiti lol umezidi
✌️👊🙏.
👊✌👍.
Hatar hiii kubarikiwa nch na mungu kisha tukakubal kuiachia kirahisi very awesome people
wengi walioua kwa dhulma nao huishia kudhulumiwa ukiua kwa upanga jiandae na wewe kuuawa kwa upanga pia
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
[10/09, 2:26 pm] Portorico: ua-cam.com/video/XyoSo7Tr9kQ/v-deo.html [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/OUImP-Tze7k/v-deo.html التواجد العماني في تنزانيا وزنجبار [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/2qoeh8zDMaE/v-deo.html العمانيون في بوروندي [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/ZqgL9-X-acQ/v-deo.html العمانيون في تنزانيا شينانغا [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/a6OWaGE6kGg/v-deo.html العمانيون في زنجبار [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/UfIUy8P38kg/v-deo.html العمانيون حكام زنجبار [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/LlJ8TyOZovc/v-deo.html السلطان العماني في ممباسا [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/aOyhJceCUuQ/v-deo.html الشيخ سالم الريامي في زنجبار [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/Xb5KmiCiPjs/v-deo.html زنجبار عاصمة سلطنة عمان في شرق افريقيا [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/d8c4wmVUpHE/v-deo.html عمان وزنجبار [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/a6OWaGE6kGg/v-deo.html [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/ZPJhrfAMavM/v-deo.html القبائل العمانية في زنجبار [10/09, 5:13 pm] Portorico: ua-cam.com/video/Rfd4OhwRNLU/v-deo.html [10/09, 5:13 pm] Portorico: مجازر ضد العمانيين في زنجبار ua-cam.com/video/P54EFzJRnXc/v-deo.html مجازر ضد العمانيين في زنجبار ua-cam.com/video/CfNJcKBX47w/v-deo.html [11/09, 8:16 am] Portorico: ua-cam.com/video/BNxMJ3QPLJA/v-deo.html عمان وزنجبار [11/09, 8:33 am] Portorico: ua-cam.com/video/2qoeh8zDMaE/v-deo.html العمانيون في بوروندى الجزء ٢ [11/09, 8:35 am] Portorico: ua-cam.com/video/qxS5wZlbQwI/v-deo.html العمانيون بوروندي الجزء ١ [11/09, 8:38 am] Portorico: ua-cam.com/video/2nHQK27kiQ0/v-deo.html زنجبار والمرجبي [11/09, 8:41 am] Portorico: ua-cam.com/video/BtstD5hN9sg/v-deo.html العمانيون في تانجا TANGA [16/09, 12:17 am] Portorico: ua-cam.com/video/7wJoNDr9ziM/v-deo.html [16/09, 12:20 am] Portorico: ua-cam.com/video/7wJoNDr9ziM/v-deo.html [18/09, 6:17 pm] Portorico: ua-cam.com/video/LlJ8TyOZovc/v-deo.html [18/09, 6:18 pm] Portorico: ua-cam.com/video/Xb5KmiCiPjs/v-deo.html [18/09, 6:19 pm] Portorico: ua-cam.com/video/d8c4wmVUpHE/v-deo.html [18/09, 6:20 pm] Portorico: ua-cam.com/video/omzueNwrEWo/v-deo.html

Kumbe unauarabu !!! "Musliman brother hood" nyinyi mlivyowatesa watu weusi mbona hamuzungumuzi ?
Ingeachiwa hiyo brother hood chimbuka toka Misri nchi ingeharibika na km uonavyo mpk Leo Misri imeharibika nchi haiongozo Kwa dini
Unamutoleya rais bastola. ? Unafikikiya nn. ? Kisa kuma za Kizanji za wote haya limekukuta majuto mjukuu yote hii elimu Dunia angekuwa nayo yasingemukuta Karume hajasoma harafu unashindana naye